UEFA Champions League: Man City yaifanyia kitu kibaya Sporting, daaa! Wamechezea mkono 5-0

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Licha ya kuwa uwanja wa ugenini, Manchester City wameichapa Sporting Lisbon mabao 5-0 na hivyo kujiweka kwenye nafasi kubwa ya kusonga mbele hatua inayofuata ya UEFA Champions League.

 
John Haramba ACHA uongo kutudanganya watu wazima ndugu,FC PORTO umeitoa wapi??au umekunywa Balimi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…