UEFA Champions league mfumo mpya utakavyokuwa

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Huu ni mfumo mpya au format mpya ambao UEFA wameleta ili team ziweze kutana mapema zile nzuri kuongeza idadi ya match na team shiriki zikiongezeka team 4 zaidi toka team 32 mpaka 36.

Uefa kupitia mfumo mpya ambao utakuwa ni league moja ya msimamo(Table standing) team zote 36,yani 1-36 on standing order ikiwa mnufaika wa points,goal differences,mabao yakufunga,yakufungwa etc.

Team hizo 36 kila team moja itacheza michezo 8 na katika michezo 8 team shiriki mfano Real madrid watacheza michezo 4 nyumbani Santiago bernabeu na mingine mi 4 nje ya kwao ambapo watacheza jumla ya match 8 dhidi ya wapinzani 8 tofaut hakuna home and Away dhidi ya mpinzan mmoja tena.

Team zinapangwa kwa pot 4 za ubora wa team shiriki na points zao walizovuna kwa miaka 5 iliyopita,kutakuwa na Pot A,B,C na D, na kila team shiriki itachuana na mpinzani mmoja toka Pot yake,na pot zingine B,c,d atakutana nao wawili wawili(mfano pot A ina team 8 ambapo kwenye hizo 8 basi 2 zitaweza kutana tu toka pot A,na 2 toka pot B na 2 toka pot C na 2 toka pot D).

Points zitatumika kujua aliyeongoza hata kama hamjakutana nyie kwa nyie ila itatokana na yule atakaye cheza vyedi game zake 8 na kuwa na wastani mzuri wa point,goal differences,goal scored and goal conceded kujuam yupi wa 1 mpaka 8 ambao watafuzu hatua ya 16 bora moja kwa moja,then wa 9 mpaka 24 watachezeshwa draw kisha kupambana kupata 8 watakao ungana na wale 8 wa kwanza kucheza hatua ya 16 bora,wengine watatoka moja kwa moja mashindanoni.

Baada ya hatua iyo kuanzia hatua ya 16 bora michezo itachezwa home and Away mpaka semi final games ikitumika mchakato wa draw kisha mtoano na Final itabakia game 1 pekee
 
Naona mfumo mzuri kuujaribu. Mechi kuongezeka kutoka 6 hadi 8 na kutokuwa na home and away games kwa timu hizo hizo.
 
Ilibidi iwe kama ligi yaani timu moja icheze na timu zote zilizo kwenye ligi kisha atakae ongoza ligi ndio awe bigwa.
 
Back
Top Bottom