UEFA Champions League Quarter Finals Draw On Friday

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,746
The draw, which takes place at midday in Nyon, will not contain any seeds and teams from the same country could be paired off against each other.

There will be an open draw for this round of the competition without any seeded teams, and clubs from the same Federation can be paired off against each other. The first leg games will be played on 14 and 15 April and the second leg games will take place on the 21 and 22 of the same month.

Teams through to the quarter-finals:

-
-Real Madrid

-Porto

-Bayern Munich

-PSG

-Atlético Madrid

-Monaco

-Barcelona

-Juventus
 
naiona final ya msimu uliopita ikiwa robo, Real Vs Atletico
 
Champions League 1/4 finalists by league:

La Liga (3)

Ligue 1 (2)

Bundesliga (1)

Serie A (1)

Primeira Liga (1)

Premiere League ????............ 0!!

EPL waendelee kujifunza

Ligue 1 wamewiva simmeona,semi watakuwepo
 
naiona final ya msimu uliopita ikiwa robo, Real Vs Atletico

Hapo hakuna kuidarau timu yoyote utakayopewa, kazi itakuwepo, natabiri robo fainali itakuwa na mabao kiduchu sana ukilinganisha na round of 16.
 
Itapendeza mwaka huu bingwa akitoka Italia (bibi kizee/Juventus) au France (PSG wanaweza ..)
 
Subiri ijumaa mchana utajua mmepangiwa na nani, naona UCL imeshakuwa serious sasa.

sawa mkuu ila hebu nidondoshee possibilities kidogo basi,ingawa nahisi hawa jamaa wanaweza kutupeleka Spain kwa Real au Barca.
 
Kutakuwa na robo fainali nzuri sana haswa kutokana na upinzani wa wenyewe kwa wenyewe baina ya timu za Spain...
 
sawa mkuu ila hebu nidondoshee possibilities kidogo basi,ingawa nahisi hawa jamaa wanaweza kutupeleka Spain kwa Real au Barca.

Mimi ni Real Madrid supporter, na maadui zangu wakubwa hapo ni Barca na Atletico, kwahiyo mi ningefurahi kuona:
Juventus vs Barca
Bayern Munich vs Atlètico
Halafu Real Madrid tupewe Porto au Monaco.
 
Itapendeza mwaka huu bingwa akitoka Italia (bibi kizee/Juventus) au France (PSG wanaweza ..)

ikitokea ni Juve,furaha yangu nitakuambukiza,una "utaifa" sana mkuu.afu una akili za kuona mbali!afu inaonekana you were vere vere vere bright darasani!yaani kumbe binadamu wenye "utu" bado mpo duniani!nitaongea na buluda mwenzangu Mourinho tuone jinsi ya kukutunuku kwa "moyo huu wa upendo" ulio nao!ngoja nikariri hii ID..cynic..cynic..cynic...okey.afu kitufe cha like kiko wapi huyu mchina wangu jamaani?!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni Real Madrid supporter, na maadui zangu wakubwa hapo ni Barca na Atletico, kwahiyo mi ningefurahi kuona:
Juventus vs Barca
Bayern Munich vs Atlètico
Halafu Real Madrid tupewe Porto au Monaco.

a ha ha haa!nyie ndio wale akina baba mnatakaga kale ka mnofu kakubwa kupita yote kwenye sufuria apewe baba halafu the rest ndio ale mama na watoto.acha roho mbaya mkuu,wewe bingwa mtetezi,tukupe Bayern au rafiki yako Atletico teh!
 
Mi naiogopa Juventus kuliko Atlètico. Game ya mwisho tumetoa nao draw 2 - 2 wakati tuna majeruhi watano, tena goli zao zote za kuvizia katika sekunde ya 30 kisha dakika 90 zote wame-sit down in a box wanasubiri mipira ije wapige kichwa watoe nje. Na mchezo huo huo tulimburuza bao 4 fainali za mwaka jana
 
Umeona game yao ya jana, wale watoto wa Liverkusen wamekosa confidence tu, lakini ile ndio ilikuwa safari yao. Wewe kama huijui Real Madrid subiri uione, kwanza naanza na huyo huyo Barca wenu kwenye la liga jumapili.
 
Madrid akitia timu Turin mwaka huu atapata tabu,huyo Tevez anavyotafuta sifa mwaka huu!na Morata nae!waspanish huwa wana wakati mgumu kwa waitaliano.nadhani ni ile style.Hata hivyo si mnae mtaliano kwenye benchi la ufundi?sasa shaka ya nini?au zile goli 4 za Inzaghi na Milan yake kule uarabuni zilikutisha zaidi?
 
Umeona game yao ya jana, wale watoto wa Liverkusen wamekosa confidence tu, lakini ile ndio ilikuwa safari yao. Wewe kama huijui Real Madrid subiri uione, kwanza naanza na huyo huyo Barca wenu kwenye la liga jumapili.

tusikimbiane humu.nitakuja kwenye uzi wako maalum kwa ajili ya kutoa pole.hao Leverkusen hata ungekuwa wewe ungetoa ulimi kaka,wale watoto ni wabishi kweli mechi kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…