UEFA CHAMPIONS LEAGUE QUOTES

UEFA CHAMPIONS LEAGUE QUOTES

Senior masai

Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
88
Reaction score
89
Kuna quote Moja inasomeka kwa wadhamini wa UEFA CL HEINEKEN BEER kwamba (cheers to all fans men included)
Nimejaribu kutafta namna nielewe nimekosa, wanamichezo tuletane kati apa
 
Ni policy ya kuondoa ubaguzi wa kijinsia kwenye soccer. Ndiyo maana tangazo lao wanawake ni wengi kuunga mkono wanawake kuwa mashabiki wa mpira.
Wanawake nao wanyoe kama machezaji, wajipake marangi, watoke nyumbani wakaangalie mpira, na kufanya vile vitu ambavyo wanaume tunafanya likija jambo la mpira
 
Kama ni hvo c wangesema women included au hyo ni illusionary quote
 
Kama ni hvo c wangesema women included au hyo ni illusionary quote
Kwanza elewa ile quote ikivyoandikwa.
"Cheers to all fans. Men included"
Kumbuka kuna kituo hapo katikati kwahiyo hizo ni sentensi mbili tofauti
"Cheers to all fans." hapo inawahusu wale wanawake kwenye tangazo sasa
"Men included." sababu tangazo lina wanawake, kwahiyo hiyo kauli inawahusisha na wanaume ambao hawapo kwenye tangazo. Ndo maana nimekuambia linahusika kuondoa ubaguzi wa kijinsia
 
Hizi mambo za haki sawa ni bora uachane nazo. Zitakusumbua!
 
Back
Top Bottom