Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 88
- 89
Kama ni hvo c wangesema women included au hyo ni illusionary quoteNi policy ya kuondoa ubaguzi wa kijinsia kwenye soccer. Ndiyo maana tangazo lao wanawake ni wengi kuunga mkono wanawake kuwa mashabiki wa mpira.
Wanawake nao wanyoe kama machezaji, wajipake marangi, watoke nyumbani wakaangalie mpira, na kufanya vile vitu ambavyo wanaume tunafanya likija jambo la mpira
Kwanza elewa ile quote ikivyoandikwa.Kama ni hvo c wangesema women included au hyo ni illusionary quote