UEFA Champions League sasa ndani ya Facebook

UEFA Champions League sasa ndani ya Facebook

nijothemaster

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
324
Reaction score
56
Ndugu wananchi....

Msimu ujao wa ligi ya mabingwa Ulaya tunaweza kuufuatilia moja kwa moja kupitia Facebook.....

Hii ni kwamujibu wa Fox Sports kuungana na Facebook kurusha michuano hiyo moja kwa moja....
 
Back
Top Bottom