UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

LIVE Droo ya michezo iliyosalia ya Uefa na Europa League inafanyika muda huu, itahusisha
Robo fainali
Nusu fainali
final

Ingia The official website for European football – UEFA.com utaona live
Pia kwa wale wenye mobdro au android Tv inia Bt sport 2 wataonyesha live.
Nitawalete Update kwa kila kinachoendelea



UPDATE:
Droo ya Uefa Champions League:

Atletico Madrid vs Leicester City

Borussia Dortmund vs Monaco

Bayern Munich vs Real Madrid

Barcelona vs Juventus




Droo ya Europa :

Celta Vigo vs Genk

Ajax vs Schalke

Lyon vs Besiktas

Anderlecht vs Manchester United





 
Kuichukia barca ni kujipa pressure bure mwisho utapatwa na degedege alilolipata babu fagason kwenye ile fainali .
 
Sasa ndugu yangu wewe, ushasema baada ya Madreid na Barca ni Atletico, sasa unapingana nn na mm?
nnachopga hapa n ww kusema et
Atl Madrid haina fans wengi

Embu kafanye kwanza utafit
 
nnachopga hapa n ww kusema et
Atl Madrid haina fans wengi

Embu kafanye kwanza utafit
Wachache ukilinganisha na madridi na Barcelona ndio maana yangu
 
Ukiona shabiki wa
Man utd ,real madrid ,chelsea na liverpool anaipenda barca bhas ujue siku hiyo barca anacheza na timu ya england pale pale ila yule anayekuwepo top four

Ila mashabiki wa arsenal wanaipenda barcelona maana kuna kaushirikiano fulan

Na pia mashabiki wa real madrid hawez kuipenda barcelona
 
Mbwana Samatta aliyeisaidia timu yake kuingia hatua ya robo fainali tukitaka kujua atapangiwa na timu gani maoni yangu ni heri akutane na Manchester United ili awaoneshe kuwa Tanzania tunaweza.
Niseme kweli tu Genk ya Samatta ikipangwa na Man U ntaendelea kuishabikia Mashetani siwezi kuaccha Mbachao kwa msala upitao
 
Mm ni blood fan wa Man u,ila hamu niliyonayo ni kuona GENK anapangwa na nani ili kijana wetu atupie kamba zingine.
WE SIO SHABIKI WA MAN U WA KWELI YAANI ITANIUMA SANA KM SAMATTA AKIPANGIWA NA MAN U ALAF AKASHINDA YAANI ITAKUA MTANZANIA MWENZANGU KANITIA MACHUNGU
 
sikio liliponza kichwa huyo Dyabala atapotezwa ile mbaya au tutamwambia refa ampe red kama tulivyowapunguza kasi MATUIDI na DRAXER pale CAMP NOU kwa kadi za njano dakika 25 za mwanzo
Wakati wengine huwa na fikiri marefalii huwa na mahaba na barca,hatua kama hii Chelsea Ndio huwa anawatoa Jasho vilivyo.
 
Reactions: PNC
Mimi nawapeleka.laicetser .monaco.bayan munic.na juve nusu final.najua MADRID ZOTE MBILI NJE.UEFALONA NJE.NA Na. Dortmund nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…