Record zote hizo kapigwa barcelona. DuhChampions league semi final biggest win
( aggregate)
Bayern Munich 7:0 Barcelona
Spanish Super Cup biggest win
Athletico Bilbao 5:1 Barcelona
Champions league final biggest win
AC Milan 4:0 Barcelona
La liga Biggest win
Athletico Bilbao 12:1 Barcelona
Copa del rey biggest win
Real Madrid 11:1 Barcelona
2nd Biggest win in la liga
Sevilla 11:1 Barcelona
Chombadinho.wordpress.com
Kwa atletical!, hawana formula pia wana beki imara sana, japo walianza vbaya la ligaLeicester city fc KING POWER inaweza oyesha maajabu.
Champions league semi final biggest win
( aggregate)
Bayern Munich 7:0 Barcelona
Spanish Super Cup biggest win
Athletico Bilbao 5:1 Barcelona
Champions league final biggest win
AC Milan 4:0 Barcelona
La liga Biggest win
Athletico Bilbao 12:1 Barcelona
Copa del rey biggest win
Real Madrid 11:1 Barcelona
2nd Biggest win in la liga
Sevilla 11:1 Barcelona
Chombadinho.wordpress.com
mkuu na ac milan iko nafas ya ngap?[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii timu ni maiti ilishajifiaChampions league semi final biggest win
( aggregate)
Bayern Munich 7:0 Barcelona
Spanish Super Cup biggest win
Athletico Bilbao 5:1 Barcelona
Champions league final biggest win
AC Milan 4:0 Barcelona
La liga Biggest win
Athletico Bilbao 12:1 Barcelona
Copa del rey biggest win
Real Madrid 11:1 Barcelona
2nd Biggest win in la liga
Sevilla 11:1 Barcelona
Chombadinho.wordpress.com
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]mkuu na ac milan iko nafas ya ngap?[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii timu ni maiti ilishajifia
mkuu BARCELONA ni bingwa mpya UEFA na nilichojifunza kule Turin hata kama tukifungwa 4 ila iwe 4:1 au 3:1 au 5:2 ili wakija CAMP NOU tunawasambaratishaMkuu PNC 1 this tym barcelona mmeingia cha kike. Sioni ni namna gani mnaweza kutoka kwa juventus wenye njaa na ucl.
Sioni ni vp Real Madrid atachomoka kwa Bayern Munich. Timu tatu tu ndio zenye nafasi ya kunyanyua kwapa. Bayern, juve na Atletico Madrid.
Atletico Madrid ndio timu pekee kwa pale spain iliyopata mteremko kidogo. Naomba kwa ajili ya atletico Madrid wanyanyue ndoo. Ingawa katika sala zangu sitaacha kuitaja juventus turin.
Poleni Barcelona
Poleni Real Madrid
Mkuu,cards pekee mliyo nayo Barca ni mbili tu,either kushinda Turin kwa goal difference at least 2 au Juve kushinda goli moja mechi ya kwanza.mkuu BARCELONA ni bingwa mpya UEFA na nilichojifunza kule Turin hata kama tukifungwa 4 ila iwe 4:1 au 3:1 au 5:2 ili wakija CAMP NOU tunawasambaratisha
mkuu hata kwa PSG mlisema hvohvoMkuu,cards pekee mliyo nayo Barca ni mbili tu,either kushinda Turin kwa goal difference at least 2 au Juve kushinda goli moja mechi ya kwanza.
Tofauti na hapo mtakuwa na tough game Camp Nou.
Usifikiri zile goli za PSG utazitengeneza kirahisi mbele ya Bonuci,Sandro,Benatia,Chiellini,Evra,etc,tena wakiwa well informed kuwa inahitaji kitu cha ziada kukushinda wewe na itakuwa honour kwao,which means utacheza nao wakiwa "die hard".
Hapana labda wengine,ila mimi mechi ya PSG niliwaambia watu kuwa Barca hajafa bado wasubiri second leg,wakabisha,kilichotokea ndio kile.mkuu hata kwa PSG mlisema hvohvo
Basi mna hali mbaya sana, maana toka 2006 barca anatawala tu mpaka leoHaunifikii mimi bhana naichukia sana
Hiyo Chelsea iko wapi sasa?Wakati wengine huwa na fikiri marefalii huwa na mahaba na barca,hatua kama hii Chelsea Ndio huwa anawatoa Jasho vilivyo.
Bila shaka utakua shabiki wa Man U weweMimi nawapeleka.laicetser .monaco.bayan munic.na juve nusu final.najua MADRID ZOTE MBILI NJE.UEFALONA NJE.NA Na. Dortmund nje
Uliona alichafinyiwa PSG lakini? Mkabaki mnalialia na refaWana hasira ya kukosa kombe!! Mtafanyiwa surprise hamtaamini!!