Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzenu nipo gizani, sikujua kama UEFA umebaki mchezo mmoja tu, ambao ni fainali, kati ya Liverpool na Bayern!!!Leo ni siku ya jumatatu April 30,2018.
Naomba msiusahau huu uzi
Ni hayo tu
Hongereni mashabiki wa Bayern Munich kwa kuchukua kombe la UEFA 2017/18.
Just a dream after over dose feedingHuu ni utabiri au ni ndoto?
Natamani ndoto yako itimie lakini wale wazee wananipa mashaka...boateng nje,roben nje..asipopigwa bora nikashangilie netiboli
Tusubiri kama
Coman
Vidal
Watabadili chochote
Hao jamaa Injury aiseeeNatamani ndoto yako itimie lakini wale wazee wananipa mashaka...
Tusubiri kama
Coman
Vidal
Watabadili chochote
Nyie mashabik wa barca mnataka nn uku timu yenu haipo daaaaah ebu token bana nawajua mna vi- wivu vinawasumbua au tuwaitie kale kajamaa [HASHTAG]#roma[/HASHTAG]????? haalaaaaa MadridLeo ni siku ya jumatatu April 30,2018.
Naomba msiusahau huu uzi
Ni hayo tu
Hongereni mashabiki wa Bayern Munich kwa kuchukua kombe la UEFA 2017/18.
Unatuwekea gundu mashabiki wa liver isijekuwa timu ulizotaja ndio zinatolewa nusu fainaliLeo ni siku ya jumatatu April 30,2018.
Naomba msiusahau huu uzi
Ni hayo tu
Hongereni mashabiki wa Bayern Munich kwa kuchukua kombe la UEFA 2017/18.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ninakuangaliaaaaaaa, ninakuchekiiiiiiii nasema hiiiiiiiiii