Sasa utamu wachii league utakua uko wapi binafs naona waache Kama ilivo maana ndo inakera hamasa ya game kupigwaNa sheria ya aggregate itolewe
Aggregate score wanaangalia timu yenye magoli mengi kwenye mechi mbili za home and away ndio inaendelea na mashindano, lakini hayo magoli sasa itabidi yawe yalifungwa kiuhalisia sio ile style ya kusema goli moja la ugenini ni sawa na mawili, hiyo ndio inaondolewa.Na sheria ya aggregate itolewe
Hiyo timu iliyoshinda 3-0 ugenini itaendelea, wanachoondoa UEFA ni ile ya kusema mfano ufungwe ugenini 2-1, halafu kwako ukashinde 1-0 then uwe umemtoa mwenzako kama ilivyo sasa, sasa kwa hii sheria kuondolewa matokeo yatakuwa ni 2-2, hivyo kitafuata extra time au penalti.Faida ya kucheza mechi mbili ugenini na nyumbani itakua hipi? Ikitokea team moja ikashinda goli 3 ugenini thn nyumbani ikafungwa goli moja au mbili bila nini kitafata
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataangalia aggregate hapoKwa hiyo ikitokea Ac Milan Kashinda goli tatu kwa moja ugenini
Halafu marudio kafungwa goli mbili kwa bila nyumbani keake. Je hapo atayesonga mbele ni yupi? Au nini kitafuata?
Hiyo timu iliyoshinda 3-0 ugenini itaendelea, wanachoondoa UEFA ni ile ya kusema mfano ufungwe ugenini 2-1, halafu kwako ukashinde 1-0 then uwe umemtoa mwenzako kama ilivyo sasa, sasa kwa hii sheria kuondolewa matokeo yatakuwa ni 2-2, hivyo kitafuata extra time au penalti.
Hapo Ni 3-3Kwa hiyo ikitokea Ac Milan Kashinda goli tatu kwa moja ugenini
Halafu marudio kafungwa goli mbili kwa bila nyumbani keake. Je hapo atayesonga mbele ni yupi? Au nini kitafuata?
Unaelewa maana ya aggregate? Hapo si ni sare gemu inaendelea hadi apatikane mshindiKwa hiyo ikitokea Ac Milan Kashinda goli tatu kwa moja ugenini
Halafu marudio kafungwa goli mbili kwa bila nyumbani keake. Je hapo atayesonga mbele ni yupi? Au nini kitafuata?
Unaelewa maana ya aggregate?Na sheria ya aggregate itolewe
Ac Milan atatokaaKwa hiyo ikitokea Ac Milan Kashinda goli tatu kwa moja ugenini
Halafu marudio kafungwa goli mbili kwa bila nyumbani keake. Je hapo atayesonga mbele ni yupi? Au nini kitafuata?
Hamasa gani, hiyo sheria ilikuwa inazibeba timu mbovu, lazima ucheze na ushinde in clear aggregateSasa utamu wachii league utakua uko wapi binafs naona waache Kama ilivo maana ndo inakera hamasa ya game kupigwa
Anatokaje hapa na hata wakitumia sheriaAc Milan atatokaa
Sasa Tim Kama Madrid na man u n Tim mbovu?Hamasa gani,hiyo sheria ilikuwa inazibeba timu mbovu..lazima ucheze na ushinde in clear aggregate
Kama sheria ikifutwa hapo aggregate ni 3-3 hivyo muda wa nyongeza unahusika.Kwa hiyo ikitokea Ac Milan Kashinda goli tatu kwa moja ugenini
Halafu marudio kafungwa goli mbili kwa bila nyumbani keake. Je hapo atayesonga mbele ni yupi? Au nini kitafuata?