mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwa hiyo ikitokea Ac Milan Kashinda goli tatu kwa moja ugenini
Halafu marudio kafungwa goli mbili kwa bila nyumbani keake. Je hapo atayesonga mbele ni yupi? Au nini kitafuata?
Faida ya kucheza mechi mbili ugenini na nyumbani itakua hipi? Ikitokea team moja ikashinda goli 3 ugenini thn nyumbani ikafungwa goli moja au mbili bila nini kitafata
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoa huo mfano makusudi kwasababu aggregate inakuwa 3 kwa 3 yaani mmoja mmoja kashinda 3 kwa 1 na marudiano aliyepigwa tatu kashinda mbili kwa 0 hivyo aggregate ni 3 kwa 3Wataangalia aggregate hapo
Kwasababu gani?Ac Milan atatokaa
Bila kuwa na aggregate maanake magoli yasiwe yanahesabiwa.Na sheria ya aggregate itolewe
Penalty zitafuataKwa hiyo ikitokea Ac Milan Kashinda goli tatu kwa moja ugenini
Halafu marudio kafungwa goli mbili kwa bila nyumbani keake. Je, hapo atayesonga mbele ni yupi? Au nini kitafuata?
Hakuna radha itakayoondoka, shinda kwa aggregate halisi na si kubebwa na bonus ya goli lisiloonekana.Itapunguza ladha ya soka, watu wataona Ni rahisi kupindua meza