UEFA kwenye ubora wao kikosi bora cha msimu

Messi ndiye mfungaji bora wa ulaya nzima hakuna mchezaji aliye mzidi kwa magoli toka katika ligi zote... una muachaje? ukishangaa hili nenda kashangae la Neymer kuwa mchezaji bora wa Lg1 ufaransa...

Tambua hii haihusiani na ulaya nzima. Hii ni kwa champion league tu. eka ushabiki pembeni mkuu
 
Anhaa! Hiyo inaitwa rigging kwa kweli!
Messi ni mchezaji mkubwa na bora kuto mueka kwenye kikosi kusinge ondoa ubora wake hata kdogo.

Politics na Business zinaharibu kabisa mchezo wa soka mkuu.

Adidas pia walilazimisha messi kupewa tunzo ya uchezaji bora wa World cup 2014.
 
Politics na Business zinaharibu kabisa mchezo wa soka mkuu.

Adidas pia walilazimisha messi kupewa tunzo ya uchezaji bora wa World cup 2014.
Mamabo ya pesa naona wanakuwa ki msalahi
 
Tambua hii haihusiani na ulaya nzima. Hii ni kwa champion league tu. eka ushabiki pembeni mkuu
wewe ndio uweke ushabiki pembeni... kumbuka kuna tuzo ya mfungaji bora wa ulaya ambayo ina shindanisha wafungaji toka ligi zote za ulaya na UEFA wana husika na hilo...
kama ameshiriki ligi husika na ameshiriki katika UEFA CL... na ni mfungaji hatari zaidi ya wafungaji wote ktk ligi zao... kwanini asijumuishwe....

utakuwa mshabiki na mapenzi ya chuki... kama ronaldo sio magoli aliyo funga alikuwa na nafasi gani mkuu... na hasa ukiangalia fainali ndio hakuna kabisa... Mo salah nae kama ingekuwa ni mechi moja tu ya mwisho kulikuwa na nini? kama ni mechi ya mwisho walikuwa wana jumuishwa Bale na Mane kwa hali yoyote... na wachezaji wa kuunda kikosi wangetoka huko...

lakini usishangae kwenye wachezaji wao wa akiba ukamkuta De Gea... sasa jiulize Y De Gea na sio Golikipa wa Liverpool... swali dogo tu hilo mkuu cheza nalo...
 
Hicho ni kikosi chako ambacho mimi nakiona kibovu zaidi. Hivi toka lini kwa kiwango cha sasa ukamuacha messi ukamuweka Mane??
 
Adidas na Nike ni majanga makubwa kwenye mchezo football.
 
Hicho ni kikosi chako ambacho mimi nakiona kibovu zaidi. Hivi toka lini kwa kiwango cha sasa ukamuacha messi ukamuweka Mane??

Ulitizama mashindano ya Champion League mwaka huu lakini mkuu? tungeanzia hapo kwanza
 

mkuu naona uko mbali kidogo. hichi nikikosi cha waachezaji waliocheza vizuri katika mashindano ya Champion League ya mwaka huu. haihusiani kabisa na masuala ya ligi za nyumbani. wala haihusiani kuwa mchezaji fulani anakipaji zaidi kuliko mchezaji fulani. Hii ni kwaa ajili ya waliofanya vizuri kwenye msimu huu katika mashindano ya Champion League, Kwahiyo weye ulete hoja za ndani ya point usitoke kutupeleka la Liga.
 
UEFA Champions League Squad of the Season

Sitaki kutoka nje ya mada... naomba upitie hapo sasa....



Keylor Navas (Real Madrid)
Technical Observers say: Steady campaign and made saves when required to.

Alisson Becker (Roma)
Technical Observers say: Some excellent performances en route to the semi-finals. Numerous saves away to Shakhtar kept his team in the tie.



Defenders


Joshua Kimmich (Bayern München)
Technical Observers say: Energetic full-back helped Bayern's run to the semi-finals, and an excellent goal in the semis gave his team belief.

Sergio Ramos (Real Madrid)
Technical Observers say: The champions' defensive talisman as they completed their hat-trick.

Marcelo (Real Madrid)
Technical Observers say: Provides width and an incredible attacking threat from left-back.

Giorgio Chiellini (Juventus)
Technical Observers say: Juventus' key defender was at the heart of brilliant team defensive displays in London and Madrid.

Virgil van Dijk (Liverpool)
Technical Observers say: Arrived at Liverpool in January and provided composure and stability in the competition's knockout stages.

Raphaël Varane (Real Madrid)
Technical Observers say: Ramos' central defensive partner is outstanding in his own right.



Midfielders


Kevin De Bruyne (Manchester City)
Technical Observers say: The complete midfield player, with the technical and athletic ability to play in any midfield role.

Casemiro (Real Madrid)
Technical Observers say: The anchor man of Madrid's immaculately balanced midfield trio.

Luka Modrić (Real Madrid)
Technical Observers say: Always available to receive the ball, he is incredibly important to how the champions want to play.

Toni Kroos (Real Madrid)
Technical Observers say: Composure on the ball and metronomic passing. He and Modrić bring an attacking fluidity to Madrid's game.

James Rodríguez (Bayern München)
Technical Observers say: Performed excellently in the knockout stages, particularly in the second leg against Real Madrid.



Forwards


Edin Džeko (Roma)
Technical Observers say: A brilliant volleyed finish in the group stage against Chelsea was a highlight as he led the line and his team to the semi-finals, scoring eight goals along the way.

Roberto Firmino (Liverpool)
Technical Observers say: Combined incredible work rate and fierce competitiveness with technical quality, scoring ten goals in the competition.

Lionel Messi (Barcelona)
Technical Observers say: Barcelona's key attacker was the difference-maker in both round of 16 games against Chelsea.

Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
Technical Observers say: The competition's top scorer for the sixth consecutive year and scorer of the Technical Observers' goal of the season.

Mohamed Salah (Liverpool)
Technical Observers say: The Liverpool winger had an incredible season, making the difference in the semi-finals, and his departure in the final changed the outlook of the game.

UEFA Technical Observers in Kyiv
Jerzy Engel (POL), Thomas Schaaf (GER), Mixu Paatelainen (FIN), Peter Rudbæk (DEN), Cristian Chivu (ROU), David Moyes (SCO)

© 1998-2018 UEFA. All rights reserved. Last updated: Sunday 27 May 2018
 
Van dijk hakustahili kwanini???

Kwasababu Fazio na kolarov wameonesha ewezo mkubwa zaidi kuliko yeye. Kwanza alianza kucheza kati ya msimu tu wakati watu wamekamua toka makundini kabisa.

Na labda ungelitusaidia performance yake kubwa iliozidi ya Fazio katika michezo ya Roma vs Barca, na Roma vs Chelsea.
 

- kwanza weye ullituambia masuala ya ufunguji wa ulaya nzima ndipo nilipokwambia unatoka nje mada. mada nikuhusu champion league amabayo messi amefunga magoli 6 tu.
- Na wameeleza hapo kama alicheza vizuri mechi ya chelsea ya round of 16. Nikweli kabisa maneno yao. Lakini ni hiyo tu. Mane amfunga magoli 10, Livepool imefika mpaka fainal, napia amefunga goli ndani ya final na akiwa ni best performer wa Liverpool ndani ya final.
Ameonesha uweza mkubwa tokea kuanza ligi mpaka kufika fainal kwa liverpool.
 
kama ume weza mjaji kwa michezo miwili pekee... kwanini una kataa wenzio wasijaji "Kwanza alianza kucheza kati ya msimu tu wakati watu wamekamua toka makundini kabisa."
 
kuwa best performer wa liverpool ndio kigezo...? nilizani ni best perfomer wa mchezo husika? mzee vipi?

 
ulaya kwangu nilichukulia kama kigezo kwangu mimi... maana ndio mshambuliaji hatari.... chukua takwimu za kutoka ligi zote utapata majibu...
 
Adidas na Nike ndo wanaharibu fleva ya mpira sikuhizi..wanatumia pesa nyingi kwa ajiri ya wachezaji wao.
 
kama ume weza mjaji kwa michezo miwili pekee... kwanini una kataa wenzio wasijaji "Kwanza alianza kucheza kati ya msimu tu wakati watu wamekamua toka makundini kabisa."

Sijamjai kwa michezo miwili nimetaja mechi mbili alizocheza kiwango cha juu kabisa. Fazio toka ligi imeanza amekua akicheza katika kiwango kikubwa kabisa. Unapotizma soka tuliza akili mkuu usitizame kishabiki.
 
ulaya kwangu nilichukulia kama kigezo kwangu mimi... maana ndio mshambuliaji hatari.... chukua takwimu za kutoka ligi zote utapata majibu...

Hakuna anaeipinga uwezo wa leo Messi, nikatika wachezaji bora kabisa kuwahi kutokea. Lakini ni ukweli usiopingika ameunderperform ndani ya championleague msimu huu, Na vija wapewe haki zao walionesha uwezo.
Hata Suarez amefunga karibu magoli 25 la liga. Lakini Champion league amemaliza na goli 1. kwaiyo huwezi kuunganisha performance zake za La Liga ukasema aingizwe kwenye wachexaji walofanya vizuri kwa champion league msimu huu wakati hakucheza vizuri katika ligi husika.
 
Messi ndiye mfungaji bora wa ulaya nzima hakuna mchezaji aliye mzidi kwa magoli toka katika ligi zote... una muachaje? ukishangaa hili nenda kashangae la Neymer kuwa mchezaji bora wa Lg1 ufaransa...

Kweli kabisa, but haters watakupinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…