UEFA Last 16: Droo imerudiwa baada ya kutokea hitilafu

UEFA Last 16: Droo imerudiwa baada ya kutokea hitilafu

Mwaka huu hatuko poa kivipi? Wakati draw ya makundi inafanyika tukawekwa kundi moja na Atletico, Porto na AC Milan mlisema ni kundi la kifo na Liverpool hatoboi.

Matokeo yake tumezichapa team zote hizo nje ndani. Tukaondoka na points zote 18. Sasa unawezaje kusema hatupo vizuri shemelaa?

Huu ubingwa wetu bana.
Haina shida shem tusubiri mwisho tuone!ila umenikumbusha gemu ya kwanza na ac milan nilikuwa na Mr tunachek gemu kiukweli nilcheka sana klop alifanya sub kama kichaa sitaki kukumbuka mlitoboa kwa mbinde
 
Kwakweli tusubiri tu ila mimi nina iamini sana team yangu.
 
Timu pekee inayoweza kupigwa zaidi ya goli 6 UEFA ni Man U na Chelsea pekee sio miamba Barcelona
images (11).jpeg
 
Eee barc mwamba tena?
Tumebeba UEFA mara 5 unasema Sisi sio miamba? Au unatufananisha na hao takataka wengine kama Arsenal Chelsea City na hata Mwanitesa United
 
Tumebeba UEFA mara 5 unasema Sisi sio miamba? Au unatufananisha na hao takataka wengine kama Arsenal Chelsea City na hata Mwanitesa United
Mshaanza kuwa kama mavi ya kale
 
🚨🚨🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚! UEFA is about to agree to do another draw, following complaints from several teams. #UCL

(Source: @RodrigoFaez)
 
Back
Top Bottom