UEFA Last 16: Droo imerudiwa baada ya kutokea hitilafu

UEFA Last 16: Droo imerudiwa baada ya kutokea hitilafu

Mwaka huu hatuko poa kivipi? Wakati draw ya makundi inafanyika tukawekwa kundi moja na Atletico, Porto na AC Milan mlisema ni kundi la kifo na Liverpool hatoboi.

Matokeo yake tumezichapa team zote hizo nje ndani. Tukaondoka na points zote 18. Sasa unawezaje kusema hatupo vizuri shemelaa?

Huu ubingwa wetu bana.
Ajax,Bayern na nyie mmekwapua point zote 18 kwenye makundi ngoja tuone muendelezo utakuaje
 
Sisi tuliopewa vitonga tunasema isirudiwe

Wale waliopangwa na visiki vya mpingo wanafurahiiiiiii [emoji1787][emoji1787] daadeki kama timu mbovu mbovu tuu

Screenshot_20211213-155159_1.jpg
JamiiForums508476599.jpg
 
Naona kabisa Chelsea anapewa Bayern Munich, ila man U PSG hakwepekiπŸ˜†πŸ˜†
 
Marudio ya nn tena?...aah hapo Liverpool tulikuwa tumepumua
 
Hiyo draw ya kwanza ilifanyika leo ndio pakawa na makosa ya kiufundi, hivyo itarudiwa tena leo hii hii.
 
Irudiwe tu kwa maslahi mapana ya Man U. Hawana hata huruma hawa jamaa.

Ila Liverpool watuachie mtu wetu.

Halafu Chelsea apewe Bayern
Man City apewe Ajax
 
PSG vs real Madrid

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom