Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Unaangaliaga mpra?? IyoPSG ni nzuri kwenye lineup tu sio mpiraaHahah Hii hii Madrid ya vinishaz kunya?
Mzee timu ambazo mpaka saivi zimeshatoka UEFA Ni Chelsea Na Madrid.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaangaliaga mpra?? IyoPSG ni nzuri kwenye lineup tu sio mpiraaHahah Hii hii Madrid ya vinishaz kunya?
Mzee timu ambazo mpaka saivi zimeshatoka UEFA Ni Chelsea Na Madrid.
Yet Hao walimpiga mancity...PSG hawajawahi Kuwa Na Mpira convincing mpaka wanafika fainali UEFAUnaangaliaga mpra?? IyoPSG ni nzuri kwenye lineup tu sio mpiraa
Ondoa chelsea kwenye hiyo list.Hahah Hii hii Madrid ya vinishaz kunya?
Mzee timu ambazo mpaka saivi zimeshatoka UEFA Ni Chelsea Na Madrid.
Tusingerudia makosa tungewakung'uta nyumbu nyinyi msingeamini.Utd ilitakiwa tupewe Chelsea
Lille atamdindia chelsea mpaka hutaamini...we unadhani chelsea ya saivi ni sawa na ya mwaka jana?Ondoa chelsea kwenye hiyo list.
Hahahah.... Kwani si ndio chelsea hiyohiyo iliyobeba UCL nani kaondoka?Lille atamdindia chelsea mpaka hutaamini...we unadhani chelsea ya saivi ni sawa na ya mwaka jana?