UEFA LIVE : Mechi ya mwisho Juventus na Real Madrid 2-2, Juventus kurudisha Heshima Leo? Bashiri

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
868
Reaction score
1,385
KUELEKEA FAINALI YA UEFA CHAMPION MILLENNIUM STADIUM
Congrats Real Madrid ALL GOALS and HIGHLIGHTS
Juventus wameshindwa kurudisha Heshima yao

Kuelekea katika fainali ya leo ya Uefa Champion League kati ya Juventus dhidi ya Real Madrid itakayo pigwa pale Millennium Stadium of Cardiff, uwanja unaohodhi watazamaji zaidi za 740,00 tumekuwa tumekuwa tukisia mengi Wengine wakisema, michuano hii Bingwa hachukui mara mbili, mara ambaye humtoa Barcelona ndio huwa bingwa na Real Madrid haijawahi chuku ubingwa huu kwa miaka inayogawanyika kwa mbili, tuachana na hayo tuangazie uharisia wa mchezo wenyewe.

Juventus amefika fainali kwa kuwafunga klabu ya Monaco Ugenini na nyumbani kwake, huku Real Madrid akimtoa Atletico Madrid kwa kupata sare ugenini na kupata ushindi katika uwanja wao wa nyumbani, tuachane na historia zao, tukazie umakini katika mchezo wao wa leo, binafsi nina mpongeza kocha wa Juventus Massimiliano Allegri kwa kufika hapa na kikosi kama hiki, baada ya Conte kukiacha na kutimkia Chelsea.

Katika kikosi cha Real kuelekea mchezo huu uhai wa timu wote upo katika Eneo lao la kiungo, huku Juventus ni katika ngome yao ya ulinzi, Buffon anautaka ubingwa huu aweze kustaafu huku akibeba Balon D ’o Mikononi mwa mreno Christiano Ronaldo ambaye anahisi hana chakupoteza kwa leo, nani kuwa mbabe wa Kombe hili huko Cardiff Leo? Tukutane saa tatu na nusu nyuma ya Runinga Zetu kwa tulio Tanzania, utabiri wa ndani ya dakika tisini itakuwa 2-2 dakika za ziada zitaamuabingwa leo, wewe je unatabiri nini?

HALF TIME
Madrid 1- 1 Juventus

Christian Ronaldo Dk 20Mandzuk Dk 27

Casemiro Dk 61 (Madrid)

Juventus 1-2 Madrid

Christian Ronaldo Dk 65 (Madrid)

Juventus 1-3 Madrid

http://
Dk 73
[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/3b1681bd170cae4c9566ae1016aa49fb.jpg

Hali bado ni mbaya wa vijana wa Italia Serie A

 
Itanoga, natumaini watatupa gemu tunalolitegemea kuliona sio kwenda kupwaya uwanjani.
 
Hapo mkuu si kubaliani na wewe. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni msimu wa 2014/2015 ilikuwa hatua ya nusu fainali Ambapo madrid alitolewa. mechi yao ya kwanza madrid alifungwa magoli 2 kwa moja wakiwa ugenini. Na kisha wakasuluhu kwa goli moja kwa moja hispania.
Unachosemea wewe ni msimu wa 2013/2014 ndio madrid alimfunga juventus ila haikuwa mtoano bali ni hatua ya makundi. Ambapo madrid alishinda 2 kwa 1 kisha wakasuluhu 2 kwa 2 italy.
 
Can't wait kumuona legendary G. Buffon akiinua ndoo ya UCL...
Juve anashinda leo
 
Christian Ronaldo Dk 20 (madrid)

Mandzuk Dk 25( Juventus)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…