Huyu shabiki hamjamwelewa. someni post yake vizuri. huyu sio man u. anajaribu kuichafua tu man u kwa kujifanya anaionea huruma. ametumia neno Kufurushwa. wewe utolewe halafu utumie neno kufurushwa? Huyu atakuwa Chelsea tu ama Arsenal. wala msimtukane wala kumkejeli bali msomeni vizuri mtamwelewa.