Uefa Nations League Final: France yabeba kombe baada ya kuifunga Spain kwa magoli 2-1

Tofauti ya euro na nation ligi ni nini

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Euro ni mashindano yanayofanyika kila baada ya miaka minne na yanaendeshwa kwa wiki nne tu!

Nations League ni ligi kwa timu za taifa ambapo mechi zake hufanyika wakati wa calendar ya FIFA / International week, ni ligi ambayo imekuja kuchukua nafasi ya mechi za kirafiki za timu za taifa ambazo zilkuwa hazipewi uzito sana na wachezaji
 
Kwahiyo ni kama bonanza tu?
 
Watu wanajua kusaka pesa aiseee so bingwa wa kwanza wa nations league ni nani

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…