UEFA tunaangalia channel gani kwenye Azam TV

UEFA tunaangalia channel gani kwenye Azam TV

Azam hawana haki ya kurusha matangazo ya UEFA...kwa Aftica ni DSTV na Bein Sports pekee ndiyo wana kibali hicho

Pia kuna Channel za Kifaransa kama Canal Sports nk.
Napataje kingag'amuzi Cha canal
 
Wee wawapi ten Ila Azam nao wafikirie hyo nafasi watapiga hell balaah tupu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tatizo cyo kupiga hela swali ni Je? Wanayo hela ya kununua haki za matangazo??

Na hata wakinunua Je ni watanzania wangapi watamudu kulipia vifurushi kwa msimu? Kwa maana ni lazima bei ya vifurushi itapanda ili kuweza kulipia TV rights

Huko Algeria, Morocco, Nigeria, Egypt kuna makampuni makubwa sana ya TV lakini linapokuja suala la kuonesha EPL au UEFA wanafyata mkia...
 
Hicho king'amuzi cha kizaramo hawana vitu hivyo...
 
Zamani uefa tuliangalia kupitia channel ten
 
Huku bara huna dstv sahau UEFA champions league, labda Europa league utaiona
 
Back
Top Bottom