UEFA UROPA League

UEFA UROPA League

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
28,186
Reaction score
15,549
Wakuu i have just finished watching fulham destroying Juve 4-1 pamoja na kuwa nyuma 0-1 within 2 minutes!!!

Hili ni kombe dogo la ulaya lakini today was a very good day for an England team

Cannavaro was red carded
 
Valencia wamepita kwa away goal, matokeo 4-4 lakini valencia walitoka 1-1 nyumbani kwao.
 
Hawa Cottagers wamefanya kweli, kazi ipo mwaka huu.
 
game ilikuwa kali sana hii.na ndio nasema liverpool na nyie mmeoneshwa jinsi mpira unavyopigwa kakazeni buti sasa.
 
Back
Top Bottom