UEFA YAFANYA MABADILIKO CHAMPIONS LEAGUE

UEFA YAFANYA MABADILIKO CHAMPIONS LEAGUE

Buenos Aires

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
1,894
Reaction score
1,622
UEFA YAFANYA MABADILIKO CHAMPIONS LEAGUE
August 26, 2016
uefa.png

Shirikisho la soka la Ulaya UEFA limetangaza mabadiliko katika michuano ya UEFA Champions League kuanzia msimu ujao 2017-18.

Kuanzia msimu ujao, timu 4 za juu kutoka katika ligi 4 bora barani Ulaya (La Liga, Premier League, Budesilga na Serie A) zitakuwa zinafuzu moja kwa moja kuingia hatua ya makundi bila kupitia hatua ya mtoano.

Awali timu zilizoshika nafasi ya nne katika msimamo wa ligi hizo zilikuwa zinacheza mchezo wa mtoano (play off) na mshindi ndiyo anafuzu hatua ya makundi kama ilivyofanyika pia katika msimu huu.
uefa.png
 
Mkuu nimecheka sana. Na hasa ukizingatia MTU WA NNE ni mtu mzima!
siku Chelsea ,Man U na Arsenal zikikosekana UEFA,UEFA watakasirika sana achiliambali vibanda umiza.
 
Back
Top Bottom