UEFA's Top 20 Club Rankings

Yaani sisi ndo wa mkiani naandamana aisee!!! Kwanini mmefanya hujuma hivi......sikubali kukatwaa....lol .....si haba lakini kupotea misimu 2 ukawepo bado hata kwenye hiyo top 20 big up MUFC...... utasema nina uwivu ngoja nikupongeze #HalaMadrid ....
 
List ingekua ni top 10 Man u wasingekuwepo,ila aliyeandaa hiyo list ni shabiki wa man U ndio maana ikawa top 20, ili Man u ionekane

Wewe nahisi ni LFC si bure.....
 
Yaani sisi ndo wa mkiani naandamana aisee!!! Kwanini mmefanya hujuma hivi......sikubali kukatwaa....lol .....si haba lakini kupotea misimu 2 ukawepo bado hata kwenye hiyo top 20 big up MUFC...... utasema nina uwivu ngoja nikupongeze #HalaMadrid ....

Hahaha, y nada mas everlenk. Mucho gracias.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…