Habari zenu wadau .Ningependa kufahamu kwa wale amabao bado wana fanya biashara ya kirikuu(carry) (nikimaanisha kumpa dereva alete hesabu)
1. kama hii biashara bado inalipa au ni mauza uza tu?
2. Kwa wale ambao bado ina walipa mnafanyaje ili kufanikisha hii shuguli?
3. Hesabu siku hizi ni sh ngapi?
Maana ninazo mbili ila naona mauza uza tu .kwaio kwa wenye ujuzi zaidi waku saidia naomba mawazo yenu.