Nikiwahi kuwa na Kirikuu tatu miaka ya nyuma. Huyu wiki hii akileta hela, huyu mwingine atakwambia wiki hii gari inaenda service, yule atakwambia tyre imekwisha. So unajikuta umeingiza hela ya gari moja.
Biashara ni nzuri gari ikiwa mpya ila ikishapita mwaka mmoja, basi jiandae kuwafanyia kazi watu wengine...
Biashara ya kirikuu inalipa sana Dodoma ....naongea kwa uhakika!Habari zenu wadau .Ningependa kufahamu kwa wale amabao bado wana fanya biashara ya kirikuu(carry) (nikimaanisha kumpa dereva alete hesabu),
1. kama hii biashara bado inalipa au ni mauza uza tu?
2. Kwa wale ambao bado ina walipa mnafanyaje ili kufanikisha hii shuguli?
3. Hesabu siku hizi ni sh ngapi?
Maana ninazo mbili ila naona mauza uza tu .kwaio kwa wenye ujuzi zaidi waku saidia naomba mawazo yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu waweza tupa maelezo ni kwa namna gani biashara hii inavyofanyika..?? Yaan soko lake nil watu wa aina gani
Uzi umetekelezwaHabari zenu wadau .Ningependa kufahamu kwa wale amabao bado wana fanya biashara ya kirikuu(carry) (nikimaanisha kumpa dereva alete hesabu),
1. kama hii biashara bado inalipa au ni mauza uza tu?
2. Kwa wale ambao bado ina walipa mnafanyaje ili kufanikisha hii shuguli?
3. Hesabu siku hizi ni sh ngapi?
Maana ninazo mbili ila naona mauza uza tu .kwaio kwa wenye ujuzi zaidi waku saidia naomba mawazo yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya magari ambayo kidogo unaweza kupumua japo miezi 2 ni Lori tu, hizo zingine pasua kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Canter utabebea mawe kweli? Labda ununue fuso zile tipperUnamaanisha lorry zenye ukubwa gani mkuu?
Na vipi kuhusu zile canter zinazouzwa milioni 25 zinafaa au hadi niwe na hela ya kununua scania kipisi?
Canter utabebea mawe kweli? Labda ununue fuso zile tipper
Habari zenu wadau .Ningependa kufahamu kwa wale amabao bado wana fanya biashara ya kirikuu(carry) (nikimaanisha kumpa dereva alete hesabu)