uelewa juu ya DNA

uelewa juu ya DNA

Mboya Allie

Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
93
Reaction score
67
Habar zenu?? kuna ktu kinantatza, eti kipmo cha DNA kinaweza tumika toa matokeo ya uchunguzi endapo bado mtoto akiwa tumboni mwa mama yake?
 
Inawezekana kabisa.Kwa sababu uhai wowote unaaza na DNA.Hii ndio basic unit of life,so mtoto yeyote hata awe umri wa siku moja tangu mimba itungwe tayari ana DNA.
 
Back
Top Bottom