Mboya Allie Member Joined Mar 13, 2012 Posts 93 Reaction score 67 Jan 7, 2013 #1 Habar zenu?? kuna ktu kinantatza, eti kipmo cha DNA kinaweza tumika toa matokeo ya uchunguzi endapo bado mtoto akiwa tumboni mwa mama yake?
Habar zenu?? kuna ktu kinantatza, eti kipmo cha DNA kinaweza tumika toa matokeo ya uchunguzi endapo bado mtoto akiwa tumboni mwa mama yake?
Mrimi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 1,691 Reaction score 640 Jan 7, 2013 #2 Inawezekana kabisa.Kwa sababu uhai wowote unaaza na DNA.Hii ndio basic unit of life,so mtoto yeyote hata awe umri wa siku moja tangu mimba itungwe tayari ana DNA.
Inawezekana kabisa.Kwa sababu uhai wowote unaaza na DNA.Hii ndio basic unit of life,so mtoto yeyote hata awe umri wa siku moja tangu mimba itungwe tayari ana DNA.