Uelewa juu ya simu janja (smartphone)

Uelewa juu ya simu janja (smartphone)

crusader_jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
994
Reaction score
851
Habari wana JF poleni na kazi na majukumu mbalimbali,

Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye swali langu, ni kwanini fingerprint scanner kwenye simu janja baada ya kuscan upande mmoja wa kiganja either cha kushoto au cha kulia (mfano nimetumia cha kulia) kwa nini nkitumia mkono mwingine inagoma ku-unlock screen?

Je ni ubovu wa simu au fingerprint ya kiganja kimoja na kingine ni tofauti 🤨🤨
Karibuni kwa majibu👇👇👊🙏

NB: Samahani kwa kutokutumia kiswahili fasaha penye makosa nikosoe🙏🙏

"swali la kijinga likijibika kwa utaalamu hUmfanya mjinga kuwa kwenye kundi la wajanja😅😅
"crusader-ready when called"
 
Hazifananani ndo maana ni vizuri ukaregister kila mkono ikiwezana Huku mbili na kule mbili Ile iwe rahic kunlock Simi yako
 
Hilo la vidole viwili linawezekana ila ni utundu tu wa mtu mwenyewe, mfano mimi natumia vitole viwili tofauti bila shida.
 
Hazifananani ndo maana ni vizuri ukaregister kila mkono ikiwezana Huku mbili na kule mbili Ile iwe rahic kunlock Simi yako
shukrani mkuu nimepata kitu ila samahani nikuulize kitu kwa nini zitofautiane akati ni mtu mmoja
 
Hilo la vidole viwili linawezekana ila ni utundu tu wa mtu mwenyewe, mfano mimi natumia vitole viwili tofauti bila shida.
mkuu nimejaribu ila nashindwa kwa nini inasumbua wakati mwili ni mmjoja na ikija suala ka fingerprint mi nadhani vidole vyote vitafanana
 
Back
Top Bottom