crusader_jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 994
- 851
shukrani mkuu nimepata kitu ila samahani nikuulize kitu kwa nini zitofautiane akati ni mtu mmojaHazifananani ndo maana ni vizuri ukaregister kila mkono ikiwezana Huku mbili na kule mbili Ile iwe rahic kunlock Simi yako
ndio mkuu
mkuu nimejaribu ila nashindwa kwa nini inasumbua wakati mwili ni mmjoja na ikija suala ka fingerprint mi nadhani vidole vyote vitafananaHilo la vidole viwili linawezekana ila ni utundu tu wa mtu mwenyewe, mfano mimi natumia vitole viwili tofauti bila shida.
sakhurani mkuu kwa elimuFingerprint hazifanani.