Uelewa wa Katiba kati ya Vijana wa Tanzania na Kenya

Cathylin 2002

Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
31
Reaction score
128
Kenya katika kundi la vijan 10

6 wanajua sheria na katiba ya nchi hata Kama elimu Yao ni high School

2 wanajua kuhusu IT

1-2 wana elimu haswa

LAKINI TANZANIA
Katika vijana 10, 8 ni mashabiki wa mpira wa Simba na yanga Stupid fans

2 ni C.C.M ambassador

Poor Tanzania
 
Iweke sawa, Tanzania katika Vijana 10
6 ni UVCCM yaani huwaambii kitu juu ya Mama, wanashinda kusifia kila kitu, hawaijui Katiba ya nchi wala hawana mpango nayo wanasubiria kulamba teuzi

2 ni wakubeti.... Wana ndoto za kumiliki mandinga makali na madem kwa hela za kubeti, hawana muda na mambo ya serikali.

2 Walobakia ni mashabiki wa Yanga na Simba .... mada zao ni usajili na mpira ... Wakimaliza hapo wanahamia kwa Ali Kiba na Dayamondi.....

Hio Katiba mpya tutaipata lini? Kwa generation ipi?? Hayo mageuzi labda tuyaenzi na NCCR tu.
 
Yani sijui shida ni nini aisee mim ni stnd 7 ila naona kbs nawazidi uelewa wengi wanaojiita wasomi yani kichwani ni zero kbs unaongea nao unanawasikiliza unaona kbs huyu amefikafikaje hapo juu alipo
 
Kenya katika kundi la vijan 10

6 wanajua sheria na katiba ya nchi hata Kama elimu Yao ni high School

2 wanajua kuhusu IT

1-2 wana elimu haswa

LAKINI TANZANIA
Katika vijana 10.

8 ni mashabiki wa mpira wa Simba na yanga Stupid fans

2 ni C.C.M ambassador

PoorTanzania
Hizi takwimu kuhusu Kenya sijui mnazitoleaga wapi. Yaani utakuta mtu anaisifia Kenya na hata hajawahi kufika kupaona pakoje.
Kenya ya jamiiforums utadhani wanapumua hewa ya blue.
Sikatai kuhusu elimu ya Kenya kuwa Bora lakini it's not that much guys acheni shobo na dharau kwetu basi.
NB: nimesomea huko tokea msingi Hadi form four so nakujibu out of experience ya almost miaka 19 ndani ya ardhi ya Kenya.
 
I

I'm writing this from Westland in Nairobi
 
Whether in githurai 45 or komarok, don't lie to us..... I agree with you about Kenya's education system being the best in East Africa but sio hizo takwimu ulizoandika hapo.
Kenya ni moja ya nchi yenye vijana wengi walevi na watumia mihadarati.....takwimu zao umezificha wapi.
 
Very true
 
Kenya katika kundi la vijan 10

6 wanajua sheria na katiba ya nchi hata Kama elimu Yao ni high School

2 wanajua kuhusu IT

1-2 wana elimu haswa

LAKINI TANZANIA
Katika vijana 10, 8 ni mashabiki wa mpira wa Simba na yanga Stupid fans

2 ni C.C.M ambassador

Poor Tanzania
Mbona Tz umeipendelea.

Sema katika 10, 5 ni jobless (Ushabiki na Kubeti), 4 ni machawa na 1 tu ndo Mnyama ambae ni WeedLiquorz
 
Hizi takwimu kuhusu Kenya sijui mnazitoleaga wapi. Yaani utakuta mtu anaisifia Kenya na hata hajawahi kufika kupaona pakoje.
Kenya ya jamiiforums utadhani wanapumua hewa ya blue.
Sikatai kuhusu elimu ya Kenya kuwa Bora lakini it's not that much guys acheni shobo na dharau kwetu basi.
NB: nimesomea huko tokea msingi Hadi form four so nakujibu out of experience ya almost miaka 19 ndani ya ardhi ya Kenya.
Kumbe ulisomea Kenya? Karibu tena yakhee.
 
Hizi takwimu kuhusu Kenya sijui mnazitoleaga wapi. Yaani utakuta mtu anaisifia Kenya na hata hajawahi kufika kupaona pakoje.
Kenya ya jamiiforums utadhani wanapumua hewa ya blue.
Sikatai kuhusu elimu ya Kenya kuwa Bora lakini it's not that much guys acheni shobo na dharau kwetu basi.
NB: nimesomea huko tokea msingi Hadi form four so nakujibu out of experience ya almost miaka 19 ndani ya ardhi ya Kenya.
Bado ulikuwa hujitambui kipindi hicho
 
Kenya katika kundi la vijan 10

6 wanajua sheria na katiba ya nchi hata Kama elimu Yao ni high School

2 wanajua kuhusu IT

1-2 wana elimu haswa

LAKINI TANZANIA
Katika vijana 10, 8 ni mashabiki wa mpira wa Simba na yanga Stupid fans

2 ni C.C.M ambassador

Poor Tanzania

Wewe upo kundi gani Hapo, kiongozi? Au wewe ni special?
 
Iweke sawa, Tanzania katika Vijana 10
6 ni UVCCM yaani huwaambii kitu juu ya Mama, wanashinda kusifia kila kitu, hawaijui Katiba ya nchi wala hawana mpango nayo wanasubiria kulamba teuzi

2 ni wakubeti.... Wana ndoto za kumiliki mandinga makali na madem kwa hela za kubeti, hawana muda na mambo ya serikali.

2 Walobakia ni mashabiki wa Yanga na Simba .... mada zao ni usajili na mpira ... Wakimaliza hapo wanahamia kwa Ali Kiba na Dayamondi.....

Hio Katiba mpya tutaipata lini? Kwa generation ipi?? Hayo mageuzi labda tuyaenzi na NCCR tu.

Wewe upo kundi gani Hapo, mkuu?
 
1000140582.jpg
 
kama kuna viumbe vinanikera duniani ni haya mashabiki maandazi ya mpira ya bongo,
yaani ni kama mateja kutwa story zao utaskia azizi ki, mara mayele sijui chama huwezi wakuta wanaongea jambo la msingi hata siku moja zaidi ya kuwadiscuss wanaume wenzao wanaopiga hela huku wao wamebweteka kwenye vijiwe vya kahawa,

nikigundua rafiki yangu mwenye pigo hizi huwa namkataa chap maana naona ni jitu ambalo haliwezi hata kuongea kitu positive kimaisha au kukupa ushauri wa maana,
 
Back
Top Bottom