Cathylin 2002
Member
- Jun 2, 2024
- 31
- 128
Hizi takwimu kuhusu Kenya sijui mnazitoleaga wapi. Yaani utakuta mtu anaisifia Kenya na hata hajawahi kufika kupaona pakoje.Kenya katika kundi la vijan 10
6 wanajua sheria na katiba ya nchi hata Kama elimu Yao ni high School
2 wanajua kuhusu IT
1-2 wana elimu haswa
LAKINI TANZANIA
Katika vijana 10.
8 ni mashabiki wa mpira wa Simba na yanga Stupid fans
2 ni C.C.M ambassador
PoorTanzania
I'm writing this from Westland in NairobiHizi takwimu kuhusu Kenya sijui mnazitoleaga wapi. Yaani utakuta mtu anaisifia Kenya na hata hajawahi kufika kupaona pakoje.
Kenya ya jamiiforums utadhani wanapumua hewa ya blue.
Sikatai kuhusu elimu ya Kenya kuwa Bora lakini it's not that much guys acheni shobo na dharau kwetu basi.
NB: nimesomea huko tokea msingi Hadi form four so nakujibu out of experience ya almost miaka 19 ndani ya ardhi ya Kenya.
Whether in githurai 45 or komarok, don't lie to us..... I agree with you about Kenya's education system being the best in East Africa but sio hizo takwimu ulizoandika hapo.I
I'm writing this from Westland in Nairobi
Very trueWhether in githurai 45 or komarok, don't lie to us..... I agree with you about Kenya's education system being the best in East Africa but sio hizo takwimu ulizoandika hapo.
Kenya ni moja ya nchi yenye vijana wengi walevi na watumia mihadarati.....takwimu zao umezificha wapi.
Mbona Tz umeipendelea.Kenya katika kundi la vijan 10
6 wanajua sheria na katiba ya nchi hata Kama elimu Yao ni high School
2 wanajua kuhusu IT
1-2 wana elimu haswa
LAKINI TANZANIA
Katika vijana 10, 8 ni mashabiki wa mpira wa Simba na yanga Stupid fans
2 ni C.C.M ambassador
Poor Tanzania
Kumbe ulisomea Kenya? Karibu tena yakhee.Hizi takwimu kuhusu Kenya sijui mnazitoleaga wapi. Yaani utakuta mtu anaisifia Kenya na hata hajawahi kufika kupaona pakoje.
Kenya ya jamiiforums utadhani wanapumua hewa ya blue.
Sikatai kuhusu elimu ya Kenya kuwa Bora lakini it's not that much guys acheni shobo na dharau kwetu basi.
NB: nimesomea huko tokea msingi Hadi form four so nakujibu out of experience ya almost miaka 19 ndani ya ardhi ya Kenya.
Bado ulikuwa hujitambui kipindi hichoHizi takwimu kuhusu Kenya sijui mnazitoleaga wapi. Yaani utakuta mtu anaisifia Kenya na hata hajawahi kufika kupaona pakoje.
Kenya ya jamiiforums utadhani wanapumua hewa ya blue.
Sikatai kuhusu elimu ya Kenya kuwa Bora lakini it's not that much guys acheni shobo na dharau kwetu basi.
NB: nimesomea huko tokea msingi Hadi form four so nakujibu out of experience ya almost miaka 19 ndani ya ardhi ya Kenya.
Nyie ndio hamjitambui mkiiskia Kenya mnatamani mkaolewe huko.Bado ulikuwa hujitambui kipindi hicho
Nakujaga Sana mara Kwa mara nikileta biashara zangu. Nina msela anaishi kitengela huwa nafikia huko.Kumbe ulisomea Kenya? Karibu tena yakhee.
Kenya katika kundi la vijan 10
6 wanajua sheria na katiba ya nchi hata Kama elimu Yao ni high School
2 wanajua kuhusu IT
1-2 wana elimu haswa
LAKINI TANZANIA
Katika vijana 10, 8 ni mashabiki wa mpira wa Simba na yanga Stupid fans
2 ni C.C.M ambassador
Poor Tanzania
Iweke sawa, Tanzania katika Vijana 10
6 ni UVCCM yaani huwaambii kitu juu ya Mama, wanashinda kusifia kila kitu, hawaijui Katiba ya nchi wala hawana mpango nayo wanasubiria kulamba teuzi
2 ni wakubeti.... Wana ndoto za kumiliki mandinga makali na madem kwa hela za kubeti, hawana muda na mambo ya serikali.
2 Walobakia ni mashabiki wa Yanga na Simba .... mada zao ni usajili na mpira ... Wakimaliza hapo wanahamia kwa Ali Kiba na Dayamondi.....
Hio Katiba mpya tutaipata lini? Kwa generation ipi?? Hayo mageuzi labda tuyaenzi na NCCR tu.