Neno uhuni linamaanisha tabia ya kufanya mambo yasiyofaa au kukubalika katika jamii,hii ni pamoja na matendo ya udharirishaji, uvunjaji wa sheria au kuonyesha ukosefu wa maadili,kwa ufupi ni tabia ya kuishi bila hofu ya sheria au maadili ya jamii.
Wahuni,ni watu wanaojihusisha na vitendo vya kialifu au tabia zisizofaa katika jamii.Wahuni ni watu wanaojulikana kufanya vitendo vya vurugu,uharibifu na uvunjaji wa sheria, mara nyingi bila kuzingatia maadili ya jamii.
N.B Tuombe Mungu Mlimani city kusiwe na uhuni wala wahuni wasitokee.