Weka akiba ya maneno, hakuna jambo jipya chini ya jua. Huo mfumo au kushinda mechi 10 mfululizo ndio kitu kipya kwako?
Ukitaka kuidhibiti Chelsea uwe na lengo Mmoja tu.kwamba hutaki kufunga goli ili ubaki tu kutafuta suluhh ya kutofungana .ukijifanganya tu kupanda kutafuta goli ukikosea tu umekwisha .mfano man u, Tottenham, man cityAya maneno yako yatunze tu naamini yatakurudia.next year.
Kule hawakopi na kupestUnasubiria nn sasa Mr fuso kuelekea EFM or clouds fm kwauchambuzi zaid!!
Sisi tulipanda tukapiga ma3Ukitaka kuidhibiti Chelsea uwe na lengo Mmoja tu.kwamba hutaki kufunga goli ili ubaki tu kutafuta suluhh ya kutofungana .ukijifanganya tu kupanda kutafuta goli ukikosea tu umekwisha .mfano man u, Tottenham, man city
Arsenal 3-0 Chelsea.Unareply kwa nguvu sana cjui ndo mahaba na hyo Chel, msimu huu nan kakufunga NNE!!! Macho yako yana maj mkuu tzama vzur wanachosema wenzio, co gol nne ni nafas ya nne
Aya maneno yako yatunze tu naamini yatakurudia.next year.
Wenger anatamani saana kuyafikia matunda aliyoyapata 2004 baada ya kumaliza ligi bila kupigwa, enzi za kina sol camble, Perez, Henry , viera nk ilikuwa raha kwa wqpenzi wa arsenal wakati huo. Wenger anajaribu lakini mambo ni magumu sana hasa baada ya kupotieza game ya City ni kama focus inaanza kupotea. Nafikiri sasa kaanza kuamini kwamba Football is about money!!! Bila kuwekeza pesa nyingi makombe utayasikia kwa majirani tu. Sanchez ndo huyoooo... Kama pesa haitatimia anayoitaka.[/QUOTE]Aya maneno yako yatunze tu naamini yatakurudia.next year.
kaka vipi? upo? nilikuwa napitia tu comments zako hapa!!Tafadhali sana mchezo mfumo huo huo mechi ya marudiano na Arsenal. Tungependa mno tuwagonge 3 zingine mkiwa na huo wazimu wenu.
Sina uhakika ni magoli mangapi Chelsea imefungwa kwa Counter attack, kama yapo hayafiki 2. Mengi ni makosa ya mabeki na mipira ya adhabu ndogo na kona. Kwa sasa hakuna timu inayopenda kukutana na Chelsea, maana kumaliza dakika 90 ni adhabu kwa timu pinzani. Yaliyowakuta City, Liver na Arsenal kwenye game za marudiano yana justify haya ninahoongea. Chelsea imekamilika kila idara kwa sasa.Binafs ndo mfumo nnaoutumia kwenye game, napiga mbaya kabisa!
Kasoro zake ni ;kucheza na timu inayo defence
Kucheza na timu inayopiga sana pasi mbele,
Ukutane na forwad zenye speed
Conte akiwa Juventus kawatesa sana Inter milan,Ac Milan,Napoli,Roma...nk kwa kutumia huo mfumo hata kombe la Euro akiwa na Timu Ya Taifa katumia sana huo mfumo na Ukampa mafanikio hasa ukiwa na Beki zenye nidhamu kama Bonnucci,Chielini lazima wapinzani wapate shida tu.
Ila all in all antidote yake itapatikana soon kwa pale uingereza kuna timu Korofi sana pale
Kaka Upo? nilikuwa napitia comments zenu wakati mnachangia thread hii - nafikiri sasa umekubali nilivyosema kwamba Chealsea ipo salama kila idara - Kuhusu mabeki kwa sasa utaona Zuma karudi na anapewa dakika chache chache kwenye PL, pia anapewa dakika 90 yeye baadhi ya mechi za FA akifanya combination Terry (Baba mwenye nyumba)Unahis kwa kikosi cha Chelsea hasa Mabeki wanaweza wakastahimili kwa muda gan huu mfumo?
[/QUOTE]Wenger anatamani saana kuyafikia matunda aliyoyapata 2004 baada ya kumaliza ligi bila kupigwa, enzi za kina sol camble, Perez, Henry , viera nk ilikuwa raha kwa wqpenzi wa arsenal wakati huo. Wenger anajaribu lakini mambo ni magumu sana hasa baada ya kupotieza game ya City ni kama focus inaanza kupotea. Nafikiri sasa kaanza kuamini kwamba Football is about money!!! Bila kuwekeza pesa nyingi makombe utayasikia kwa majirani tu. Sanchez ndo huyoooo... Kama pesa haitatimia anayoitaka.
Sina uhakika ni magoli mangapi Chelsea imefungwa kwa Counter attack, kama yapo hayafiki 2. Mengi ni makosa ya mabeki na mipira ya adhabu ndogo na kona. Kwa sasa hakuna timu inayopenda kukutana na Chelsea, maana kumaliza dakika 90 ni adhabu kwa timu pinzani. Yaliyowakuta City, Liver na Arsenal kwenye game za marudiano yana justify haya ninahoongea. Chelsea imekamilika kila idara kwa sasa.
Ni kweli hili kocha kashaliona na nafikri amelifanyia kazi kubwa mno kwani mabao ya namna hii yamepungua, hata Moses pia si mzuri sana kwenye set piece (Mipira ya juu iliyokufa) na pia kujilinda - rejea goli la kwanza la Tonteham ambapo Moses alijaa kufanya mfugaji asiwe offside wakati hakutiwa kuwa pale kwa wakati huo.Udhaifu wa Chelsea kweny huo mfumo, ni Cesar Azpilicueta ana kimo kifupi so anakua target ya timu pinzani kwenye mipira mirefu. Rejea Chelsea v Stoke City(Stamford Bridge pale, krosi nyingi zilikua zinamtarget Cesar Azpilicueta) na pia Tottenham Hotspurs v Chelsea(White Hart Lane, Chelsea walifungwa magoli mawili ya aina moja, krosi zote mbili zilipigwa upande wa Cesar Azpilicueta)
Ni kweli hili kocha kashaliona na nafikri amelifanyia kazi kubwa mno kwani mabao ya namna hii yamepungua, hata Moses pia si mzuri sana kwenye set piece (Mipira ya juu iliyokufa) na pia kujilinda - rejea goli la kwanza la Tonteham ambapo Moses alijaa kufanya mfugaji asiwe offside wakati hakutiwa kuwa pale kwa wakati huo.
Hii ndiyo hatari ya mfumo huu kwani Cesar anatakiwa acheze sambamba upande wake kushoto na Alonso, hawa wawili wasipoelewana na timu pinzani ikaona mwanya huo basi inaweza kuwa msiba na hicho ndiyo kilitokea wakati Chelsea inasubiri kuvunja record watu wakaharibu kutumia mamosa kwenye upande huo huo.
Point, je makosa haya yanajirudia rudia?? jibu hapana!! hii ndiyo kazi ya bechi la ufundi lenye weredi.
Kauli yako niliikubali kwenye game na Burnley, jamaa walirudi nyuma wote mpaka mwisho wakapata point moja.Ukitaka kuidhibiti Chelsea uwe na lengo Mmoja tu.kwamba hutaki kufunga goli ili ubaki tu kutafuta suluhh ya kutofungana .ukijifanganya tu kupanda kutafuta goli ukikosea tu umekwisha .mfano man u, Tottenham, man city
Chelsea 3 vs 1 Arsenal through 3.4.3Na mfumo huo waligongwa 3 na washika bunduki
Vip upo duniani. Naona uligongwa ukapoteaTafadhali sana mchezo mfumo huo huo mechi ya marudiano na Arsenal. Tungependa mno tuwagonge 3 zingine mkiwa na huo wazimu wenu.