Uendeshaji huu gari ni sahihi?

Ila watu nyieee jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kidole gumba tu
I know my car.

Tena na hizi fujo za mjini, utumie mguu wote lazima ule mzinga.

Ni mwendo wa dole gumba tu.
 
Hata ukiendesha gari yenye pedal 3 inatakiwa accelerator na brake utumie kwa mguu mmoja wa kulia na clutch mguu wa kushoto kwakua hiz auto zna peda mbili tu ni vyema ukajizoesha kutumia mguu mmoja ili kuepuka uwezekano wa kusababisha ajali zinazo epukika
 
Ikitokea bahati mbaya umekanyaga Brake na Accelerator kwa pamoja gari ina screen shoot kilichopo mbele yako.
 
Mimi pia naendesha kwa kutumia pedals zote hizi and now ni miaka 17 naendesha hivyo na sijawahi badili style. Kuna siku kuna mtu akaniletea ujuaji kunifundisha nilimbalasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…