Hoja yangu ni kuwa iwe jegari lako mwenyewe halafu hujui kuendesha? kubali uendeshwe! Wengine wanasema kubali uendeshewe hadi utakapopata leseni kuendesha mwenyewe!
Hapa ndipo Ciara anasema yeye anapenda kuendesha na abiria anafurahia kuendeshwa! I don't know!