Ueneaji wa magonjwa ya kuambukiza

Joined
Oct 27, 2015
Posts
30
Reaction score
9
Hello Jf Doctor,

Kuna jambo linanipa utata wa majibu kila napolifikiria.

Kwanza kabisa pongezi kubwa ziwafikie wahusika wakuu na waanzilishi wa Project ya Mwendokasi Dar (UDART)

Ila tukiangalia uwiano wa mabasi na watu n wazi kwamba mambo hayajakaa sawa maana watu hujazana kiasi kwamba hewa inakua ndogo na unaweza kupelekea hata kuwa n chanzo cha magonjwa ya kuambukiza km :-
1)TB
2)Fungus (Magonjwa ya ngozi)
N.k

Hivi my fellow doctors hii yaweza kuwepo ama isiwepo maana n kylingana na investigations zangu tuu sijafanyia utafiti hii kitu, let's discuss please
 
Ipo hoja ya kujadili hapa..! Naunga mkono.
 
Nini tofauti ya Investigations na utafiti? umefanyia Investigation ila hujafanyia utafiti[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…