UENYEKITI WA YUSUF MANJI YANGA NI KAMA UENYEKITI WA PROF.LIPUMBA CUF

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Wadau nadhani bw.Yusuf Manji anafuata taratibu za mwenyekiti wa CUF mh.Prof.Lipumba za kuandika barua ya kujiuzulu halafu unarudi tena kuwa hukujiuzulu.
 
Hahahaaa. Ni kwamba umetengua kujiuzulu mwenyewe. Wamuachie tu Yanga yake, tena wamrudishe ofisini kwa usimamizi wa polisi Km walivyofanya kwa Lipumba mana kina Akili ni Mali wanaweza kumfyekelea mbali. Ni double standard to awamu hii. Disgusting
 
Kwa hali hiyo kutakuwa na Yanga Lipumba na Yanga Maalimu Seif?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…