Ufa kwenye kioo cha gari (cracked windshield). Je, kuna repair ya uhakika?

Ufa kwenye kioo cha gari (cracked windshield). Je, kuna repair ya uhakika?

Kaveli

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
5,443
Reaction score
8,903
Jamaa yangu amepata crack (ufa) kwenye kioo cha mbele cha gari (windshield). Anasema inazidi kuongezeka (kurefuka)

Je, kuna repair ya cracked windshield kwa uhakika? ama ni hamna namna tena?

-Kaveli-
 
Mkuu RRONDO , ushasikia kuhusu technology ya kurepair cracked windshield?

-Kaveli-
 
Kuna namna ya kuzuia tu huo ufa usiendelee kuongezeka...
 
Kuna hawa jamaa wanajiita 'Bondcrack'... wanadai kurepair ufa wa kioo na kuupoteza kabisa!

Kuna anayewafahamu?

Au ni magumashi tu.

-Kaveli-
 
Ni kweli wapo watengenezaji ila sio kuipoteza kabisa bali ni kuzuia isiendelee
 
Kuna jamaa pale taa za sayansi kuelekea rose garden anajiita windscreen wizard niliwahi kuhudumiwa hapo kama miaka mitano iliyopita

Sijui kama bado yupo mtafute uki.kosa ni pm nikupe namba ya mtu akampe kioo kipya kariakoo kwa bei rahisi mno
 
Back
Top Bottom