Reapair hakuna ila kuna replacementJamaa yangu amepata crack (ufa) kwenye kioo cha mbele cha gari (windshield). Anasema inazidi kuongezeka (kurefuka)
Je, kuna repair ya cracked windshield kwa uhakika? ama ni hamna namna tena?
-Kaveli-
Nishawahi kusikia ila kwa Bongo sijui Nani anafanya hio.
Tuma picha ya kioo kwanza..... Sio kila kioo ni cha kurepairInapatikanaje hiyo fluid?
Mtu yeyote aweza kuiweka? ama inahitaji utalaamu?
-Kaveli-