Ufadadhili wa Masomo ya Uuguzi na Ukunga

Ufadadhili wa Masomo ya Uuguzi na Ukunga

demisexual

Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
7
Reaction score
28
Wakubwa shikamoni wadogo wenzangu habari zenu mimi ni mwanafunzi wa uguuzi na ukunga katika ngazi ya diploma.

Niliamua kusitisha masomo kutokana na kukosa ada ambayo nilijichanga kama kijana lakini kutokana na changamoto nimeshindwa kumalizia mwaka wa tatu naomba kama kuna mtu yoyote ana connection na mtu mwenye health centre, dispensary au hopsital wenye uwezo wa kunidhamini na kuingia nae mkataba nikimaliza nikafanye kazi kwake kama malipo ya deni
 
Back
Top Bottom