N Nsimbi JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 1,091 Reaction score 1,203 Jan 21, 2016 #1 Nimechaguliwa kusoma LLB Chuo Kikuu OUT lakini nimechelewa kuanza sababu sina Ada. Wadau nisaidieni jinsi ya kupata mdhamini. Nafaya kazi lakini mshahara haukidhi.
Nimechaguliwa kusoma LLB Chuo Kikuu OUT lakini nimechelewa kuanza sababu sina Ada. Wadau nisaidieni jinsi ya kupata mdhamini. Nafaya kazi lakini mshahara haukidhi.
G Gojaga Nize JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 2,799 Reaction score 1,809 Jan 21, 2016 #2 Mshahara hautoshi? Kopa Bank mkuu au nenda kwenye mfuko wako wa hifadhi ya jamii watakukopesha kwa ajili ya elimu
Mshahara hautoshi? Kopa Bank mkuu au nenda kwenye mfuko wako wa hifadhi ya jamii watakukopesha kwa ajili ya elimu
N Nsimbi JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 1,091 Reaction score 1,203 Jan 22, 2016 Thread starter #4 Gojaga Nize said: Mshahara hautoshi? Kopa Bank mkuu au nenda kwenye mfuko wako wa hifadhi ya jamii watakukopesha kwa ajili ya elimu Click to expand... Nize Nakushukuru Sana ndugu yangu. Nitajaribu ingawa mwajiri wangu hajapeleka michango miezi 100!
Gojaga Nize said: Mshahara hautoshi? Kopa Bank mkuu au nenda kwenye mfuko wako wa hifadhi ya jamii watakukopesha kwa ajili ya elimu Click to expand... Nize Nakushukuru Sana ndugu yangu. Nitajaribu ingawa mwajiri wangu hajapeleka michango miezi 100!
N Nsimbi JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 1,091 Reaction score 1,203 Jan 22, 2016 Thread starter #5 Eti mil.4 tu zinikoseshe masomo ya kozi niipendayo ya LLB
N NapigaNgumi JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 529 Reaction score 209 Jan 22, 2016 #6 Nsimbi said: Eti mil.4 tu zinikoseshe masomo ya kozi niipendayo ya LLB Click to expand... kwa mwaka au miaka yote mitatu?
Nsimbi said: Eti mil.4 tu zinikoseshe masomo ya kozi niipendayo ya LLB Click to expand... kwa mwaka au miaka yote mitatu?