Ufadhili wa Kozi za Mafuta na Gesi kwa wanafunzi wa Kitanzania 2024

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Screenshot_30-7-2024_122956_ (1).jpeg
 
NASEMA BILA KIFICHO, HUU NI UPUMBAVU MTUPU. UJINGA, UTAPELI. KUNA VIJANA, BATCH YA KWANZA KABISA KOZI YA GAS AND PETROLEUM ENGINEERING UDSM , MPAKA LEO HAKUNA ALIYEAJILIWA KWENYE FANI HIYO. LEO MNALETA MAKAMASI TENA HAPA!
Wote wameajiriwa
 
Wote wameajiriwa
Huwa nakuona wa maana sana hapa JF, unapoandika "ujinga", then unanitia mashaka! Nina kijana wangu al
itoka na flying colours katika kozi hiyo, mpaka leo hajawahi kuajiliwa na muda huo ndiyo huko Kilwa walikuwa wanaanza kuchimba mafuta.
 
NASEMA BILA KIFICHO, HUU NI UPUMBAVU MTUPU. UJINGA, UTAPELI. KUNA VIJANA, BATCH YA KWANZA KABISA KOZI YA GAS AND PETROLEUM ENGINEERING UDSM , MPAKA LEO HAKUNA ALIYEAJILIWA KWENYE FANI HIYO. LEO MNALETA MAKAMASI TENA HAPA!
Nakazia kuna dogo kasomea hiyo kozi China kamaliza ajira hamna na kasomeshwa kwa pesa ndefu.. tumemchangia mtaji anajifanyia biashara ss hivi yuko vizuri.
Uncle anasema pesa ya ada bora angempa mtaji 🤣🤣🤣
 
Uko sahihi, kijana wangu with all flyng colours passes in that course, batch ya kwanza kabisa UDSM, hajawahi pata kazi mpaka leo. Yuko kwenye uandishi wa habari bila kusomea uandishi a habari...... michezo michezo ya uandishi wa habari
 
Acha uongo boss
 
😅😅😅waliomaliza hii kozi wote wameamua kula chaki tu ubaoni wanapiga kelele na Organic chemistry
 
Wajaribu kutafuta kazi nje ya Tanzania huwa kuna machaka nje pia...
 
Back
Top Bottom