Ufadhili wa masomo kidato cha Tano na Sita

Ufadhili wa masomo kidato cha Tano na Sita

passionate 7

Member
Joined
Nov 17, 2020
Posts
19
Reaction score
14
Wasalaam!

Bila Shaka hamjambo katika jukwaa hili.

Kwa wazazi wenye watoto wanaotaka kujiunga na kidato cha tano.

Taasisi ya Kanisa tunatoa ufadhili bure kwa wanafunzi wote wenye Daraja la Kwanza. (Division One)

Ufadhili huu ni kwa miaka miwili (Form 5 & 6)

Kwa TAHASUSI (combination) zote.

Piga 0693019326 kwa maelekezo zaidi
 
Back
Top Bottom