Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
SCHOLARSHIP ZA SAUDI ARABIA 2025/2026

Serikali ya Saudi Arabia imetoa nafasi 127 za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wale wanaotamani kusoma nje ya nchi, hususani katika fani zinazohusiana na Data Science, Artificial Intelligence na Sayansi Shirikishi.

Muda: mwisho wa kutuma maombi ni 30 Oktoba 2025 kupitia: 👉 studyinsaudi.moe.gov.sa/Universities.


View: https://www.instagram.com/p/DNlhWyxCVQr/?igsh=aDlrejJwZGM4c3Y0
 
Hizo nafasi kwa ajili ya Watanzania pekee ?
 
Mmm.tahadhari kwa manyanyaso huko.
 
Yaani mimi mkagua maombi nimevaa kilemba cha Arafat halafu nikutatane na muombaji anaitwa Zebedayo, kwa kweli akaisome namba
Famasiala nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…