Ufadhili wa secondari na advance level

Ufadhili wa secondari na advance level

supercool

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
49
Reaction score
13
Jumuiya ya wanataaluma Tanzania tawi la tanga TAMPRO linatoa nafasi kumi za ufadhili wa masomo katika shule yake ya Haki iliyopo karibu na Veta Tanga. Ufadhili huu ni kwa wnafunzi wa kike na kiume. Ni ufadhili kwa wale tu watakaofanya vizuri zaidi katika usaili utakao fanyika haki sec tarehe ishirini na sita na saba mwezi huu na tarehe nne na tano october katika masomo ya hisabati, biology,geography na english kwa FORM III tu.Watakao fanikiwa watakaa hostel na kusoma bure wakiwa form four pia watalipiwa ada ya form five na form six katika shule watakazo chaguliwa. Malazi na chakula kwa WANAFUNZI hao yatapatikana katika siku mbili hizi za usaili

kwa maulizo/maelezo piga namba 0712048197,0773415050,0784577115,email jumasaidr@yahoo.com au kramadhani@gmail.com
 
Back
Top Bottom