Ufadhili wa sekondari na advance level

supercool

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
49
Reaction score
13
Jumuiya ya wanataaluma wa kiislam TAMPRO TANGA inatangaza nafasi za udhamini kwa wanafunzi 10 watakao faulu katika mtihani wa usaili wa kuingia FORM four utakaofanyika tarehe 26-27 sept katika shule yake ya haki iliyopo tanga.Masomo yatakayosailiwa ni MATHS,ENGLISH,GEOGRAPHY NA BIOLOGY.
Kwa wasiowahi mtihani wa pili utakuwa tarehe 4-5 october 2014.
Wanafunzi watakaofaulu watakaa hostel na kusoma bure kidato cha nne na watadhaminiwa masomo yao kwa Form Five na six katika shule watakazopangiwa na serikali.
Malazi na chakula vitatolewa katika siku hizi za usaili

kwa maulizo/maelezo piga namba 0712048197 au 0773415050 au 0784577115
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…