sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 518
- 181
Kumekuwa na hali ya kucheleweshewa kupata hela ya utafiti kwa ambao wamebahitika kufadhiliwa na wizara ya afya kwenye kusomea ubingwa na uzamili. Hii imeripotiwa na wanafunzi wa chuo fulani haswa cha serikali kudai hela zimechelewa kutoka ya utafiti ilihali kuna wengine wanamiezi miwili wamalize masters.
Inaonekana shida iko kwa serikali kupuuzia mahitaji ya wanafunzi wanaofadhili au shida iko miongoni mwa wasimamizi wake kufanya makusudi kuchelewesha hela.
Pia wanafunzi wanaosomea nje kufadhiriwa na serikali imejiwekea utaratibu kuwalipa kwanza then wa ndani kuwalipa baadae. Hii haiko sawa kabisa . Kwanini kuwe na upendeleo kwani wanafunzi wa ndani ya nchi ugumu wa maisha hawaoni na kumbuka mtu aamue aende nchi za nje amejipanga kwelikweli.
Kama serikali inawalipa Watumishi mishahara kwa wakati kwa nini isiwalipe wanafunzi wote iliyowafadhiri kwa wakati mimi naona serikali haishindwi kufany malipo kwa wakati na huenda kuna urasimu hazina au baadhi ya watumishi kujinufaisha kuchelewesha hela za watu kwa kuziweka fixed account.