Ufadhili wa wazo la biashara

Ufadhili wa wazo la biashara

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876
Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote.

Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote nilipokwama ni kugharamia technology yake maana watu wa IT wamenipigia gharama inafika million 8 mpaka 10.

Natanguliza shukrani.
 
Yani kumbe app yenyewe unatengenezewa ?! Ingekua bora kua na wazo la biashara katika eneo lako la utaalam. Nadhani hata wenye fedha watasita kukupatia, kama wewe mwenyewe ungekua umeiunda app tayari ila umeshindwa kuilipia ku upload play store sawa, sasa wewe unatafuta ufadhili wa kuanzisha saloon afu eti kinyozi amekwambia utamlipa kadhaa, ilipasa wewe mwenyewe ndo uwe kinyozi.

Haya sema umepata mfadhili app ikaundwa na kuwekwa play store ila wewe utaalam wa ku update sifuri, haya updates atafanya nani au ndo utakua unatafuta tena wafadhili wakupe pesa ya kufanya application updates, au app yako itakua haina updates ? Kwanza mill 8 kwa kuunda app ni nyingi sanaa mimi nimewaundia watu apps kwa laki sita wewe hiyo app ya mill 8 app gani hiyo !?, app ya B.O.T au ?!
 
Nafikiri kuna mambo hauna uelewa nayo mkuu, sio kila anaemiliki app au website ni IT technician. Mimi nna wazo naenda kupeleka impact kwenye jamii kupitia ilo wazo na app ni just a tool ya kufikisha ilo wazo, nnapoomba support ya fedha ni kwa ajili ya kutengeneza platform ya kuweka ilo wazo na naamini management ya app na webiste naweza kuifanya mwenyewe nikijifunza ila ntaendelea kupata support kutoka kwa technician eneo la management na maintainance.

Kama wewe ni developer ebu fikiria nje ya box zaidi. Unasema uwezi anzisha biashara ya saluni kama wewe sio kinyozi?
 
Mkuu kwahyo kutengeneza app ndo 8 million ??!
 
Wengi hamuna Basic za haya mambo.

APP haitengenezwi kinachotengenezwa ni PLATFORM then Founder wa hiyo Platform ajachagua ipatikane via Browser na kwa njia ya APP as a shortcut.

APP maanayake Platform Shortcut...So kama unazungumzia APP hata kwa 1000 unapata tu.

PLATFORM, ndicho anachotaka kuunda jamaa Platform zinatofautiana Mambo mengi sana
*Programmer waaliotengeneza
*Features
*Flexibility
*Appearance
*kuna vitu vingi vingine vya kitaalamu zaidi.

Ukitumia Programmers kama ANDELA wanakutengenezea Platform yako hata kwa 200M pia wewe unaweza tengeneza Platform yako hata kwa 1000 kimsingi haya mambo yana elimu yake...UBER uwezi fananisha na WemaApp kisa zote zinapatikana Playstore/Via App.

Kwenye Mada, jamaa kwasababu hana mtaji Million 8 ni kutaka makubwa huku mfukoni huna kitu...Unless yeye angekuwa ni Programmer...mtu kama C.T.U angtaja hiyo 10M kwa platform zake kama DUNDA kweli anastahili mpaka 100M+
 
Yes app pamoja na website tena kanipunguzia alianza na mil 11. Labda nikwambie tu hiyo app mwenyewe anaiita live system ndio maana inakuwa bei kubwa.

nafikiri ukizama deep kwenye mambo ya designing unaelewa.
 
Wengi hamuna Basic za haya mambo.

APP haitengenezwi kinachotengenezwa ni PLATFORM then Founder wa hiyo Platform ajachagua ipatikane via Browser na kwa njia ya APP as a shortcut.

APP maanayake Platform Shortcut...So kama unazungumzia APP hata kwa 1000 unapata tu.

PLATFORM, ndicho anachotaka kuunda jamaa Platform zinatofautiana Mambo mengi sana
*Programmer waaliotengeneza
*Features
*Flexibility
*Appearance
*kuna vitu vingi vingine vya kitaalamu zaidi.

Ukitumia Programmers kama ANDELA wanakutengenezea Platform yako hata kwa 200M pia wewe unaweza tengeneza Platform yako hata kwa 1000 kimsingi haya mambo yana elimu yake...UBER uwezi fananisha na WemaApp kisa zote zinapatikana Playstore/Via App.

Kwenye Mada, jamaa kwasababu hana mtaji Million 8 ni kutaka makubwa huku mfukoni huna kitu...Unless yeye angekuwa ni Programmer...mtu kama C.T.U angtaja hiyo 10M kwa platform zake kama DUNDA kweli anastahili mpaka 100M+
Sidhani kama ni makosa kutaka kitu kikubwa only sababu sina pesa. Ndio maana natafuta pesa nitengeneze system yangu naamini itanilipa sana baada ya miaka 2 naweza kuwa nalaza faida ya mil 100 per month.
 
Inapendeza
 
Back
Top Bottom