Ufafanunuzi wa Recruitment agencies

Ufafanunuzi wa Recruitment agencies

Just a person

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2022
Posts
984
Reaction score
1,232
Habari wakuu.

Mwenye uelewa wa hizi recruitment agencies and company tusaidiane wakuu au aliyewahi kujihusisha nao.
Eurolink, Vipaji, Brightermonday .
 
Ukienda Empower wanaenda kula ten lako hahaha, wapo Victoria
Wanapenda sana hiyo 10k ya vijana halafu baada ya hapo hawana time tena. Ukikaa kama mwaka hujaomba kazi kupitia wao halafu ukiomba wanakuita wale tena 10k hapo imetoka hiyo
 
Back
Top Bottom