Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 996
- 1,254
Hawa wakenya kumbe bado wapo, nikajua wamefungashaBrightermonday
Wakojehawa wakenya kumbe bado wapo, nikajua wamefungasha
Wanapenda sana hiyo 10k ya vijana halafu baada ya hapo hawana time tena. Ukikaa kama mwaka hujaomba kazi kupitia wao halafu ukiomba wanakuita wale tena 10k hapo imetoka hiyoUkienda Empower wanaenda kula ten lako hahaha, wapo Victoria