Ufafanuzi: Biashara ya magazeti

Ufafanuzi: Biashara ya magazeti

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Habarini wakuu!,

Matumaini yangu mpo wazima. Aisee, mimi naombeni ushauri na ujuzi juu ya biashara ya uuzaji wa magazeti mbalimbali ya kitanzania toka global publisher na kampuni zingine toka apo dar nami nipo singida vijijini..

1. Naomba kujua faida yake huwa inapatikanaje

2. Usafiri huwa upo vipi

3. Makubaliona na mawakala wakuu huwa vipi.

Nitashukuru kwa mawazo nitayopata toka kwenu, kwani nataka nijaribu biashara hiyo sababu eneo nililopo idadi ya watu ni kubwa ila hakuna huduma kama hiyo.
 
Habari zenu wakuu,

Ninaomba mwongozo kwa yeyote ambae anfahamu na ana uzoefu na hii biashara,ya kuuza magazeti pia.

1. Ni mtaji gani unahitajika ili kuianza?

2. Changamoto zipi zipo katika hii biashara?
 
Wakuu,
Hapa Meatu,Hamuna Biashara ya Magazeti ya Kila Siku na ya Wiki!
Namanisha Nipashe,Uhuru,Mwananchi et al!

Ningependa Kufanya Hii Biashara Kwani Kwa Hapa Mwanhuzi Ofisi za Umma na Binafsi Zipo na Watu Wenye Nia ya Kuyanunua Wapo!

Nahitaji Nini Ili Niwe Wakala wa Magazeti Haya?
 
Una mtaji wa shilingi ngapi?
Magazeti yanafika Meatu baada ya muda gani?

Japokuwa Rais anatamani malaika afunge mitandao ya kijamii ila hii mitandao imeua biashara ya magazeti kwa kiasi kikubwa.
 
Una mtaji wa shilingi ngapi?
Magazeti yanafika Meatu baada ya muda gani?

Japokuwa Rais anatamani malaika afunge mitandao ya kijamii ila hii mitandao imeua biashara ya magazeti kwa kiasi kikubwa.
5M!
Sio wote wana uwezo waku access habari mitandaoni!japo pia nakili jf,fb,twitter et zimeua biashara ya magazeti!
 
wasiliana na ofisi za mauzo kuna namba kwenye kila gazeti, ila najua watahitaji kiasi fulani cha pesa kama deposit na mtaingia nao mkataba wa kisheria
 
Salam zenu......wanajf, Biashara ya magazeti inahitaji kiac gani? Cha fedha kuwekeza....!na upatkanaj wake uko vp

Nmeona inalipa sana hasa nyakati kama hizi......

Nawasilisha. Wakuu
 
Back
Top Bottom